Kijitabu hiki ni cha lugha mbili; Kiswahili na Kiingereza.
Kijitabu hiki kimeundwa kwa kutambua ongezeko la ufahamu kuwa mashirika ya kijamii na watu binafsi wana wajibu muhimu wa kutekeleza katika kuchangia uwajibikaji wa wafanyakazi wa serikali katika utoaji wao wa huduma za umma.Kupitia kwa kijitabu hiki, taasisi ya maswala ya kiuchumi inatarajia kuwatambulisha wananchi kuhusu kipimo cha jamii cha utendakazi na taratibu za ukaguzi wa kijamii.